Hao malaika bado wapo mkuu mbona! Shamba bado linamazao ya kutosha hayajaoza yote..Nikweli mkuu ila mahusiano ya miaka hii imekuwa nivigumu kumpata malaika anayekupenda kwa dhati.
Akili nyingi zimehamia kwenye ngono na pesa,
siku hizi hakuna ile unakaa na mpenzi wako mnaanza kupigiana hadithi na utani wa hapa na pale, yaani imebakia unakuja getto saa ngapi, sina nauri, upuuzi mtupu
mmmmh, kuwapata sasa hesabu zake sio za level hizi labda undondokewe na rehema za MunguHao malaika bado wapo mkuu mbona! Shamba bado linamazao ya kutosha hayajaoza yote..
Jema na likufikie mkuuNikweli mkuu ila mahusiano ya miaka hii imekuwa nivigumu kumpata malaika anayekupenda kwa dhati.
Akili nyingi zimehamia kwenye ngono na pesa,
siku hizi hakuna ile unakaa na mpenzi wako mnaanza kupigiana hadithi na utani wa hapa na pale, yaani imebakia unakuja getto saa ngapi, sina nauri, upuuzi mtupu
mmmmh, kuwapata sasa hesabu zake sio za level hizi labda undondokewe na rehema za Mungu
๐จ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ๐๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ถ๐๐ฒ ๐ต๐ถ๐๐๐ผ ๐บ๐ธ๐๐, 2022 ๐ป๐ถ๐ฝ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ๐บ๐ฒ๐ท๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐บ๐๐๐น๐ถ๐๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฒ ๐ป๐ถ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ถ๐ผ๐ป๐ฒ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎJema na likufikie mkuu
Katika uchaguzi wako usiangalie tu tamaa za mwili bali chagua kilichochema uishi kwa furaha.๐จ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ถ๐๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐ถ๐๐ฒ ๐ต๐ถ๐๐๐ผ ๐บ๐ธ๐๐, 2022 ๐ป๐ถ๐ฝ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ๐บ๐ฒ๐ท๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐บ๐๐๐น๐ถ๐๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ฒ ๐ป๐ถ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ถ๐ผ๐ป๐ฒ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎ
๐๐๐ฎ๐ป๐๐ฒ ๐ธ๐ถ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถKatika uchaguzi wako usiangalie tu tamaa za mwili bali chagua kilichochema uishi kwa furaha.