double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 570
- 956
wote wawili mna tatizo moja hamna zip manager kwenye simu zenu kila mmoja aende store ya android na symbian akaidownload kwanza then mtaweza fungua zip.
Wa android atapata apk file na wa symbian atapata jar
mkuu mimi natumia Samsung galaxy note 1 je hii mambo inakubali na kwetu? natanguliza shukrani kwako.
Mnaikumbuka bolt browser? Browser iliyokua inaziwezesha hadi simu za mafungu kuangalia youtube? Sasa imerudi tena at this time sio bolt wenyewe walioirudisha bali ni hacking za proxies.
Kuna jamaa wameirudisha kwa kutengeneza proxy hadi mambo yetu zinakubali.
---->good thing
bolt imerudi tutaitumia kama kawaidaa
---->bad thing
nimeshindwa kuconfigure youtube
---->worst thing
mambo yetu yaleee ya basi la kibuluu yanakubali just tweet yourself.
Proxy eka -174.120.204.251
port eka- 80
prox server- tweet yourself.
Nimeupload version za android na java na symbian. Sema mafile yote yapo kama zip nta upload direct link za jar na apk soon maana jf hawasuport
Hi, hii web browser unaweza ku install kwenye blackberry ?? :thinking::thinking::thinking:
wote wawili mna tatizo moja hamna zip manager kwenye simu zenu kila mmoja aende store ya android na symbian akaidownload kwanza then mtaweza fungua zip.
Wa android atapata apk file na wa symbian atapata jar
mkuu sasa nimefanikisha ku install nikaweka proxy server lkn sehemu ya kuweka proxy na port nimeikosa natumia N3
Nami nimekwama hapo,Chief Mkwawa tusaidie
proxy na port unaeka kwenye setting zako za internet
Naomba utoe ufafanuzi vizuri katika hilo tatzo maana wengi tunalo...
nenda settings >connectivity>configurations... Then nenda advanced settings... Utakuta kuna sehemu ya kujaza hizo proxy na na namba... Shughulisha akili kwa kutafuta wapi zilipo kwenye settings then jaza.. Itakuwa ngumu kukupa direction kwa kuwa simu zinatofautiana... But tafuta wapi ujaze
regards...