Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,324
salute!!!!!!!!!kwenye software ya bolt mkuu acha kama ilivo badili kwenye proxy server tu eka .........................
Then utaedit setting zako za internet tengeneza setting mpya kaeke hio proxy na port.
Ukiingia bolt tumia zile setting za internet ur done bolt yako inafanya kazi
Mnaikumbuka bolt browser? Browser iliyokua inaziwezesha hadi simu za mafungu kuangalia youtube? Sasa imerudi tena at this time sio bolt wenyewe walioirudisha bali ni hacking za proxies.
Kuna jamaa wameirudisha kwa kutengeneza proxy hadi mambo yetu zinakubali.
---->good thing
bolt imerudi tutaitumia kama kawaidaa
---->bad thing
nimeshindwa kuconfigure youtube
---->worst thing
mambo yetu yaleee ya basi la kibuluu yanakubali just tweet yourself.
Proxy eka -174.120.204.251
port eka- 80
prox server- tweet yourself.
Nimeupload version za android na java na symbian. Sema mafile yote yapo kama zip nta upload direct link za jar na apk soon maana jf hawasuport
" prox server- tweet yourself."
hapo juu sijakusoma mkubwa..ndo nieke nin kwene part hiyo?
mkuu nimeshindwa badili font size naweka large kila sehemu lakini wapi..
mkuu si nimeandika hapo juu symbian inakubali?
mkuu si nimeandika hapo juu symbian inakubali?
Samahan mkuu hapo juu haujaweka file kwa ajili ya symbian. Nimejaribu kudownload ila hazifany kaz. Tafadhal Nakuomba weka Link nidownload
mkuu mbona mimi naambiwa u cant open the file baada ya kufungua, natumia N3 ,,,nifanye je?
blackberry haitakubali mkuu