hahahahaahaha shida iko wapi kunielekeza? Tunajaribu mara moja moja kushtua kijoti, ukikaa muda mrefu hata bila kuongea au kuandika broken, unaweza ukajikuta hii lugha ya malkia imekukimbia kabisaJitahidini muandike kiswahili jamani kiingereza na hii corona ni stress tupu...
Kariakoo kuna jamaa wanatengeneza kwa bei nzuri sana
sema kukuelekeza ndo mtihani kidogo
Shida ni majina ya mitaa,hahahahaahaha shida iko wapi kunielekeza? Tunajaribu mara moja moja kushtua kijoti, ukikaa muda mrefu hata bila kuongea au kuandika broken, unaweza ukajikuta hii lugha ya malkia imekukimbia kabisa
Sawa kaka
MkuuHi bro. I bet I can convince you to hire me. I am Ustaadh Logoriddim from DodomaView attachment 1423687View attachment 1423688View attachment 1423690View attachment 1423691View attachment 1423692View attachment 1423693View attachment 1423696View attachment 1423701View attachment 1423705
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaMkuu njoo DM niko vizuri i can help you
kazi nzuri mkuuu, nikipata mtu anahitaji nitamuelekeza kwakoHi bro. I bet I can convince you to hire me. I am Ustaadh Logoriddim from DodomaView attachment 1423687View attachment 1423688View attachment 1423690View attachment 1423691View attachment 1423692View attachment 1423693View attachment 1423696View attachment 1423701View attachment 1423705
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisakazi nzuri mkuuu,nikipata mtu anahitaji nitamuelekeza kwako