With that grammar, any serious & needy employer will refrain from contacting you. I'm getting suspicious of your bachelor.
Is English your tenth language ?
Sio kazi zote zinahitaji lugha za kigeni, hata cha kuombea maji kinatosha.., sasa sababu "Clothes makes a Pirate" andika tu kwa kiswahili utaeleweka kuliko kuandika lugha ambayo umeikosea hii inaweza ikasababisha muajiri akaogopa kukuajiri akidhani na mengine utakosea wakati kumbe kwenye field yako upo vizuri..
Alafu unamaanisha nini unaposema Ethical Job
hahahaa!!! kumbe kiingereza sio mchezo
Wala isikupeshida Mheshimiwa!, hata kiswahili chenyewe sio kirahisi km unavyohisi. Lugha zetu za ujanani zimetuharibu. Nilikuwa namaanisha hivi:Mtu mzima mwenye umri wa miaka 27 akiwa na akili timamu anatafuta kazi, kazi ambayo ina maadili mema ya kitanzania (kwa hapa Tanzania kuna kazi zingine zina masharti magumu sana yasiyo na utu).
Kama umeweza kunielewa, Ubarikiwe sana!. Mm nmechezea sana lugha kama hizi "Ch[SUB]3[/SUB]Ch[SUB]2[/SUB]Ch[SUB]2[/SUB]cl"
With that grammar, any serious & needy employer will refrain from contacting you. I'm getting suspicious of your bachelor.
Haya sasa msomi kashavunja "yai" to the best of his knowledge, waajiri mpoooooooooo?
Kwangu mimi sio tatizo ninajua kwamba kuna skills tofauti katika kazi tofauti na huenda wewe kazi unayofanya haiitaji lugha lakini mimi sio kila mtu.., wengine wanaangalia hata appearance; kumbuka pia kuna stereotypes kwahio usimpe mtu chance ya kuku-judge kabla hata haujaitwa kwenye interview (sio vizuri kuonyesha weaknesses zozote) kwahio huenda ungeandika hapo juu kama ulivyoandika hapa chini watu tusingekuwa tunaongelea hapa lugha, na watu wangekuelewa unataka nini na sio kuku-misinterpret; kwa ushauri kama bado unataka kazi achana na huu uzi (umeshachafuka) fungua mwingine ambao utaelezea vizuri ueleweke (hata kama kiswahili kinakupa shida muulize hapo jirani yako akusaidie)
Kuna jambo moja kubwa sana ambalo naona haujaligundua..., wewe kama mtafuta kazi ni bidhaa (product) na muajiri ni mnunuzi (customer) kwahio wewe kama product you need to sell yourself..., ni sawa sawa wewe unauza nyanya alafu kwenye meza unapanga nyanya mbovu mbovu wakati kwenye tenga unaacha nzuri, ukijifariji kwamba kuna waelewa ambao watajua kwenye tenga kuna nzima..., mwisho wa siku unakosa fursa za wateja unajikuta hata zile nzima za kwenye tenga nazo zinaozaweakness huwa zipo, mm naamini km mtu kweli yupo serious na ana uelewa km huo wa kwako ataweza kunitafuta tu, kazi inatafutwa maelezo yanaweza kukupa picha ya mtu anaetafuta kazi haina haja ya kurudia kuandika. Naamini imeeleweka japo kwa shida,
Please wait.................................................................................................................,
Kiingereza ni lugha ya kigeni, hapa Tanzania tunakalili tu, pia katika kukalili wengine wana vichwa vibovu ingekuwa calculations sawa. So! usishangae sana maana kila mmoja na upungufu wake. "Kwani ww kiingereza umezaliwa nacho au umefundishwa tu?"