Kupitia garage yetu tumeanzisha biashara ya spare,
Tunaagiza kutoka nchi mbalimbali hivyo tunahitaji mfanyakazi kwa ajili ya kazi zifuatazo:
1. Kupokea order za wateja na kuzituma kwa mhusika
2. Kutunza financial records na cash flow management
3. online marketing (social network pages)
Awe angalau na ujuzi wa accounts au marketing.
Tuma maombi iclickcs@gmail.com