Looking for a love

Natafuta Mume awe God fearing, Mrefu kuniliko na Real.
Age 30 -35 yrs.

jitahidi ujitambue kwanza ndo uje kupost tena! mrefu kuliko wewe kiaje wakati watu hawajui wewe ni cm ngapi? God fearing wa dini ipi? kwani msabato, rc , muslim kote huko watu wenye hofu ya mungu wapo?
 
 
Look for the sqme post with 59 comments may be utanielewa.

Could you please try to use a more polite language?
 
wewe taja wajihi wako...una shep gan,rangi yako,yan mwonekano wako kwa ujumla
 
Kupata mume starts with the way you organise your self.unamiaka mingapi? Uko wapi? Unaelimu gani? Health status yako...?
 
Kupata mume starts with the way you organise your self.unamiaka mingapi? Uko wapi? Unaelimu gani? Health status yako...?

I will avail all the information to the interested party via Pm plis
 
wewe taja wajihi wako...una shep gan,rangi yako,yan mwonekano wako kwa ujumla

Mkuu naamin unampenda Mungu na hujui vyote ulivyo taja....nitakae afikiana nae nitampa details pamoja na pic.....niruhusu nifanye kama mm coz siez kuwa ww na ww huez kuwa mm plis heshimu uhuru wangu wakujieleza.
 
Thanx for your Response Guys.....I appreciate.
 
Pm me

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Sorry Kadafi am done.....will be scrutinizing the few who seem to be interested chapter clossed
 
Unafanya kazi gani Nina imri miaka30 nimeumizwa sana 0719880848 ni mkristo jina fransis Felix ni electrical engineer kama umkweri nc dy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…