Nilipanga nichek simu yake ila nadhan haina haja tena hili limenirahisishia kaz kesho nikiondoka ndo nimeondoka na leo lazma nimwambie ukwel bila chengaAfadhali umefungua ukaona vipimo....ingekuwa yako hiyo na ukijichanganya ukaenda kavu hiyo yako.
Ahh weee leo namwabia kila kitu hapa nawaza anaweza jitetea kuwa ni vya rafiki yake so inabid nijipangeMkuu angalia baada ya mwezi utaambiwa ana mimba yako..
Hii kitu ya long distance relationship probability ya kufail ni 98% hawa 2% ndio wanafanikiwaga...
Nibaada ya long distance relationship yapata miez kama 6 iv tunawasiliana vizurri tu kwa simu leo nimeenda mkoan anapoish huyo bidada nimekaa siku ya kwanza yapil akaniacha kwenda sokon nikafungua kabat nikakuta vipimo vya mimba used UPT vili test positive kuwa anamimba nawaza bado anayo iyo mimba au alitoa nimebak mdomo waz amerud nipo out of mood ila nafake smile nadhan itabid nifanye maamuz kama mwanaume. This is second time long distance inanitendea vibaya . wadada msitufanyie iv hata kama mnafanya basi hakikisha unafutilia mbali ushahid nadhidi kuchukia kuoa
Ahh weee leo namwabia kila kitu hapa nawaza anaweza jitetea kuwa ni vya rafiki yake so inabid nijipange
Watu nyie hapa juzi mlikuwa na uzi mmoja mtamu saaana wa kusherehekea kula tunda kimasihara, mliserebuka sana na kwa madaha na madoido mkajinadi kwa kumwaga maujanja yenu pale kwenye ule uzi.
Matunda yapi sasa?ndio hayaa
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...www.jamiiforums.com
Say that loud pleaseWatu wamekulakimasihara huko ndio uzuri wa haya mambo unachofanya ndio unachofanyiwa