Longaa kuhusu picture hizi

1. Picha ya kwanza, jamaa akichoka kumbeba samaki..samaki atambeba yeye
2. Picha ya Pili nadhani jamaa ananyamba sana, sasa maeneo yanaadhibiwa,
3. Picha ya tatu mtoto alikuwa anataka kujisaidia kiwanjani akarushwa na Umeme
4. Picha ya nne ni mazingaumbwe.....hayo madumu hayajafungwa popote wala kushikishwa na kitu chochote
 
Hiyo ya tatu alikua anachepuka dogo!!!

 
Hiyo njia ingekuwa inatumiwa na polisi kushikia waalifu .....sijui
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…