I'm one of them!Yaani tunafanana kabisa hata umri nao ni tofauti kidogo sana,mimi nimeamua kuwa mtazamaji,na nimekua mtazamaji kwa miaka 3 sasa,nafikiri nahitaji nifikiri vinginevyo kwani umri nao ni tatizo,ila kazi tunayo kwa wanawake wa dotcom hawa!