Loh Sirudii tena; Cheap is Expensive!

Ni RUSHDA au? Hapo soko Kuu KUNA NYINGINE INAITWA Saima Supermarket! zote ni za wahindi hao hao! funguka ili na sisi Tujihadhari na hawa magabachori!
ila rushda kuna vitu bwana pia cheap kweli
nimemiss arusha kweli
 
Wewe ni f.la sana, unaleta ushabiki kwenye afya za watu. TBS wanahusikaje hapo! Unajua tofauti kati ya TBS, Afisa afya, mkemia na TFDA?
Huna aja ya kunitusi, iwewe unayezijua hizo tofauti na bado umekalia klaumulaumu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…