Jamani watanzania tuwe makini sana na afya zetu ,Imagine kuna super Market maarufu sana huku Arusha Soko kuu, kila siku nilikuwa naisikia ukitaka kitu ambacho hakipatikani tena ni kwa bei chee nenda kwa yule muhindi nanihiii...
Wakati niko zangu shopping kuna mtu akaniconvice niende pale..kufika nikafanya zangu manunuzi ni kweli nilirealise less or nearly 1000Tshs per kila item ..loh nafika home kati ya vitu nilivyonunua siku ya kuopen my sausages nikanote test yake abit mbaya sikumind nikasema labda mdomo wangu..kivumbi ikaja visnacks za watoto ..pringles etc smell ndani tofauti mara mtoto anakaribia kumaliza nachungulia naona maugando gando meusi loh..
Nilichukia narudi kumwonyesha kesho yake kwamba bidhaa zanu vipi? Anasema ooh badili nyingine in simple language..nikaifungua hapo hapo hiyo nyingine nikanusa mbele yake nikamwambia na hii inanuka kasema hii sio sana chukua huku akiendelea kuhudumia wengine..
Mitanzania bado ikaendelea kuwewa huduma bila kushtuka kwamba hee hiki tunachonnunua ni salama?nikamwambia no prob sitachukua kitu kufidia nilikuja kukuoyesha tu nikaondoka...
Haitoshi kuishia hapo sheria ya uuzwaji wa vyakula iko wazi unakubalije kununua chakula kibovu na una ushahidi unaishia kuondoka tu? Nenda jiji wape taarifa wanakupa mtaalamu wao (Bwana/bibi afya) wana mamlaka hata ya kupeleka kwa mkemia wa serikali endapo haionyeshi siku ya matumizi ya mwisho (expiring date) ikithibitika shughuli hiyo inafungwa kisheria na ana kesi ya kujibu kwa kuwalisha wananchi vyakula vibovu kwa makusudi.
Usikute mnaushindani wa kibiashara unamchafua tuu mpinzani wako.kama unawasiwasii atumie watu wa tbs eaje kuchukua sampuli kwa uchunguzi then wao ndio wata declear huo ubora au laa.
Sasa Chemwali umeleta hii mada ili iweje?tujihadhali!tutajihadhali vipi wakati hiyo supermarket hujaitaja?unapewa huduma mbovu,fedha yako imekwenda bado unaogopa,kesho utalishwa m.vi ya wahindi na utakaa kimya tu.
ndio maana nimesema moja wapo hapo...kati ya hizo mbili zilizotajwa..so kwa wale wakazi wa aruusha i know wataifahamu supermarket ya mhindi maarufu kwa bei chee soko kuu..na nachokuomba nenda kwenye bidhaa zao kwanza anza na kuangalia expire date utaona nyingi ya bidhaa ni mwezi mmoja to mitatu mbele yaexpire..mbona nyingi mjini ni hadi after mwaka au miwili why hii mapema sana?nikapata jawabu au ndo mambo ya kuzoa zile bidhaa zinazokaribia kuexpire kwaini hata ukienda supermarket nyingi hata shopright bidhaa inayokaribia kuharibika hushushwa bei na kuwekwa kando why hawa?
ilichoniudhi ni kuona watanzania tu wazembe..ok sikuwa na idea first step natakiwa kureport wapi but ile kwenda na kuonyesha huku wengine wakishuhudia ilikuwa ni information tosha ya wote kuwa aware but instead hata yule muhindi hakuonyesha worry kwamba kwa hao wanaosikia watamuacha sikuelewa kwanini alijiamini hivyo
Kwa Bongo hata expensive ni cheap.., kwa maana nyingine hata hizo bidhaa zinazouzwa bei mbaya bado ni bidhaa hafifu.., kwahio chaguo ni lako kununua magonjwa kwa bei mbaya au bei nzuri..., all in all if you can jihadhari na ready made products from shops (tengeneza mwenyewe)
Chamwali sijui kama umetusaidia kwa taarifa yako,mimi si mkazi wa Arusha,sijui soko kuu lilipo,vipi siku nikija huko nikaenda kupata huduma kwa huyo Muhindi?
Chamwali sijui kama umetusaidia kwa taarifa yako,mimi si mkazi wa Arusha,sijui soko kuu lilipo,vipi siku nikija huko nikaenda kupata huduma kwa huyo Muhindi?
Mkuu... unakuta mtu anaishi Tanzania ambayo vitu vingi vinapatika fresh from the farm lakini wanajitia eti uzungu wa kuingia super market ili waonekane
Mkuu... unakuta mtu anaishi Tanzania ambayo vitu vingi vinapatika fresh from the farm lakini wanajitia eti uzungu wa kuingia super market ili waonekane