Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
Eti mgari wangu..hahaha naliota tuu mwenzio sina hata mia mbovu ya kuweka kwenye kibubu...Mgari wako sijui kampun gan ile, afu nishalisahau...
Embu litaje nikusachiee
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh,Eti mgari wangu..hahaha naliota tuu mwenzio sina hata mia mbovu ya kuweka kwenye kibubu...
Linaitwa Vellfire[emoji4]
Apana bhna mapolic weng,yaaani unataja mpaka unayetaka kumuuzia? akiwa humu si atasanukia dili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si maandalizi jamanii mangii...nikiipata familia wanalikuta lipo😃😃Oooh,
Afu kumbe toyota,
Ni 5000usd...
Mgar wote wa nini huo?
Una familia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahh,Si maandalizi jamanii mangii...nikiipata familia wanalikuta lipo[emoji2][emoji2]
Ngoja basi nikusanye nguvu...Aaaahh,
Umeanza mbali sana mama,
Hilo gar ni family kubwa sanaaa....
Chukua hii ist yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mama angu,Ngoja basi nikusanye nguvu...
🙏🙏🙏Sawa mama angu,
Gari ni moja ya hitaji la msingi kwa binadam...
Mimi ndoto yangu ya kwanza ilikuwa gari, na nilipo ajiriwa tu, miezi sita nikavuta chuma...
Sijajutia, imenipa network, hela, wachumba [emoji7], na majanga madogomadogoo...
Imenikomazaa.
Ukiweza kumiliki gari na hata kuliuza ni moja ya hatua kubwa uliyopitiaa...
Kila la kheri, keep dreaming.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu wa ajira usikufanye uni maind chief, relax huku ukiwa una nyonya ice cream za azam..Hongera. ila nauhakika hata baiskeli hujawahi miliki
hahaha mwambie faru joniUgumu wa ajira usikufanye uni maind chief, relax huku ukiwa una nyonya ice cream za azam..
Sawa mama angu,
Gari ni moja ya hitaji la msingi kwa binadam...
Mimi ndoto yangu ya kwanza ilikuwa gari, na nilipo ajiriwa tu, miezi sita nikavuta chuma...
Sijajutia, imenipa network, hela, wachumba [emoji7], na majanga madogomadogoo...
Imenikomazaa.
Ukiweza kumiliki gari na hata kuliuza ni moja ya hatua kubwa uliyopitiaa...
Kila la kheri, keep dreaming.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu wa ajira usikufanye uni maind chief, relax huku ukiwa una nyonya ice cream za azam..
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,
Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,
TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.
Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta GARI ZA KIUME,,wacha kung'ang'ania BABY WALKER,,, hivyo waachie wale wenzetu....Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,
Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,
TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.
Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hwhejej be by walker ndo ist? Au , au hii pasoMkuu tafuta GARI ZA KIUME,,wacha kung'ang'ania BABY WALKER,,, hivyo waachie wale wenzetu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari sasa hivi sio luxury bali ni chombo cha muhimu sana.Ukiwa na gari tayari dharau huwa nyingi ila trust me ukiwa huna gari na ukapata kashkash za usafiri wa mjini hapa. Unaeza kubali uwe hata na hio passo tu aisee. Gari ni essential sana hapa bongo goals by mid 2019 niwe katika chombo kama mungu akiniweka hai.
Unatoka passo unahamia kwenye ist😅😅😅
Ist uonavyo ni sawa na passo. Ist ni luxury car kuliko passo hata cost yake ist iko juu.bado ni economy sana kwenye wese.Unatoka passo unahamia kwenye ist[emoji28][emoji28][emoji28]