Khaliciouz mm ningekua wewe nipo kwa advertising industry ningejipendelea zaidi ya ulivyotoa tangazo lako umejibana sana. Kwenye profile pic ningeweka nzuri zaidi, ningetoa maelezo ya kutosha lkn kwa kifupi alaf ningeweka/attach kaz chache nzuri nilizowahi kufanya. Vinginevyo ni vigumu kupata serious customers. Au unaonaje? :A S-rose::A S-rose:
Khaliciouz mm ningekua wewe nipo kwa advertising industry ningejipendelea zaidi ya ulivyotoa tangazo lako umejibana sanea. Kwenye profile pic ningeweka nzuri zaidi, ningetoa maelezo ya kutosha lkn kwa kifupi alaf ningeweka/attach kaz chache nzuri nilizowahi kufanya. Vinginevyo ni vigumu kupata serious customers. Au unaonaje? :A S-rose::A S-rose:
Mimi pia designer kaka, naanzia 300,000 kwa logo moja yenye package nzima: yaani logo,letter head,risiti,invoice, nk. Wewe 10,000! Dah mbona unajishushia sana kiongozi, chuo gani ulichosomea?
dah mkubwa umejishusha sana ebu fasta edit post yako angalau sema laki moja for beatiful and successfull logo..........otherwise serious customers watakutilia mashaka