Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,792
- 5,741
Still doesn't make sense bro, according to the bible Yani unavyosikia nchi unaelewa maana yake nini, pia ukisoma bibilia imeandikwa kuwa akamtafuta mkewe kwenye hiyo nchi how comes??Mm sio mfia Dini.
Ila ngoja nijaribu kujibu ninavyoelewa.
Bila shaka Adam alizaa wana weng zaid na sio Kaini na Habil pekeyake.
Mwanzo 5 :4-5
"Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake."
Hapa unamuona mtoto mwingine wa Adam.Sethi. kwahiyo ukiacha hawa watatu unaona alizaa wengne wake kwa waume.
Ingawa Biblia haisemi waziwazi kwamba mke wa Kaini alikuwa binti ya Hawa.
Mke wa Kaini anatajwa baada ya Kaini kufukuzwa, na muda mredu ulipita.
Kwahiyo yawezekana kuwa huyo Mke alikuwa mmoja wa wajukuu wa Adamu na Hawa..
Kwahiyo alioa mtoto wa ndugu yake.
Still doesn't make sense bro, according to the bible Yani unavyosikia nchi unaelewa maana yake nini, pia ukisoma bibilia imeandikwa kuwa akamtafuta mkewe kwenye hiyo nchi how comes??
Kwakuwa dada ni dada yake angishi kwenye nchi moja na Adamu.
Ni ukweli hata hivyo.Utaambiwa biblia inasomwa ki roho
Jamani, hadithi ya Kaini na Habili inakwamisha kidogo ikiwa tukaangalia kwa logic. Kaini anaua Habili, kisha anapelekwa katika nchi ya Nodi, eneo lililokuwa mbali na Edeni. Swali ni, Nodi ilitoka wapi wakati Adam na Hawa walikuwa wanadamu pekee?
Kisha, Kaini ana mke, na kwa kuwa wote walitoka Adam na Hawa, mkewe lazima awe ndugu yake. Hii kimsingi inafanya kazi kihesabu, lakini kimaadili na kwa mtazamo wa leo inakinzana. Biblia pia inasema Kaini akajenga mji wa Henoko, lakini mji ukiwa na watu wachache sana, je, ni nani aliyeishi hapo? Kwa kweli, baadhi ya mambo hayaeleweki literal labda ni symbolic, ikituonyesha fundisho kuhusu wivu, adhabu, na uzao wa binadamu.
Personally the bible isn't 100% true if misses something, ukitumia logic kuuliza hivi vitu havina majibu. Pengine wafia dini tusaidizane
😁😁Still doesn't make sense in logical wayUtaambiwa biblia inasomwa ki roho
Sana bro, watu huamini based on how their mindset was once preparedHuenda Adam na Hawa si wanadamu wa kwanza. Hizi dini kuna sehemu zilichezewa