Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
Kadala, mzee Sani, Chupaki na wenzao wote nawakumbuka.Wangapi wanakumbuka hii kitu.Achaneni na hizo ma CCM ama CHADEMA View attachment 986072
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tunaye Lodi Lofa aliye hai hivi sasa... Achana na huyo wa kuchoraEnzi za Sani zilikua tamu sana.
Kitu kikubwa nilichokuja kugundua baada ya kuoptea kwa kazi hizo ambazo zilipendwa sana ni kuwa wabongo au watu weusi tuna ubinafsi sana na hatupendi kufundisha wengine wajue tunachokijua. Angalia wale watunzi na wachoraji wamefariki fariki hawana hata waliowarithisha mikoba.
Sema ukweli tu kuwa umesimuliwaKadala, mzee Sani, Chupaki na wenzao wote nawakumbuka.
Lakini tunaye Lodi Lofa aliye hai hivi sasa... Achana na huyo wa kuchora
Kwani mimi ni sky? Asprin mimi haya nilikuwa nayaagiza na Bunda Bus service toka Mwanza miaka ya 79-82 halafu unasema nimesimuliwa? Asprin nipe shikamoo yangu kwanza ndo nisikusemee kwa Sky.Sema ukweli tu kuwa umesimuliwa
Shkamoo mzee mwenzangu. Nilikuwa nakutania tu bhana. Usiniharibie ndoa yangu tafadhali. Utaniharibia mambo ya kikokotoo cha zamaniKwani mimi ni sky? Asprin mimi haya nilikuwa nayaagiza na Bunda Bus service toka Mwanza miaka ya 79-82 halafu unasema nimesimuliwa? Asprin nipe shikamoo yangu kwanza ndo nisikusemee kwa Sky.
Marhaba kua upate yako. Hahahahaha sky yupo anajidai sasa hivi. Ngoja nimsubiri akijidadi naweka piripiri.Shkamoo mzee mwenzangu. Nilikuwa nakutania tu bhana. Usiniharibie ndoa yangu tafadhali. Utaniharibia mambo ya kikokotoo cha zamani
mimi simo babuLakini tunaye Lodi Lofa aliye hai hivi sasa... Achana na huyo wa kuchora
Kipaji si kama nguo unayoweza kumrithisha MTU.Enzi za Sani zilikua tamu sana.
Kitu kikubwa nilichokuja kugundua baada ya kuoptea kwa kazi hizo ambazo zilipendwa sana ni kuwa wabongo au watu weusi tuna ubinafsi sana na hatupendi kufundisha wengine wajue tunachokijua. Angalia wale watunzi na wachoraji wamefariki fariki hawana hata waliowarithisha mikoba.