Local chanels vipi jamani ndiyo basi tena

Tunapata taabu Sana kwakweli. Yaani kupata habari nafuatilia tu updates JF. Niliishaga sahau kama kuna taarifa ya habari kwenye TV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me king'amuzi kimekaa2 geto kama bosheni,cjalipia mda ata nmeshasahau mara ya mwisho ilikuwa lini,nmevuta kebo ata sina habari na tbc yao hio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
issue ya local chanel ni issue imekaa kisheria, so dont expect it soon, mpaka sheria irudi bungeni ibadilishwe
 
Azam zitaridishwa mwaka huu. Hii ni kwa mujibu wa chanzo cha ndani kabisa alinisisitizia mpaka kufikia february mwaka 2019 zitakua zimerudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…