LOAN TAKERS SPECIAL THREAD

LOAN TAKERS SPECIAL THREAD

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu
Nimefungua Uzi huu maalum Kwa ajili ya kutoa Elimu kuhusu masuala ya MIKOPO na na Elimu ya fedha Kwa wale wote wanahitaji kukopa, ni mambo Gani wanapaswa kuzingatia ili kuweza kutumia pesa kulingana na malengo na kuepuka kuweka rehani dhamana zao.
Lengo la pili ni kutoa huduma Kwa wale wote watakao kuwa na uhitaji wa pesa basi nitaainisha ni mikopo Gani tunatoa na ni vigezo Gani unapaswa kuwa navyo ili uweze kukopa
#Kiasi ambacho mtu anaweza kukopa kinaanzia shilingi Milioni Moja hadi shilingi Milioni 40
# Muda wa kurejesha mkopo ni kuanzia miezi mitatu Hadi miezi 24
# Riba ni asilimia 3.5 kila mwezi unapofanya marejesho, riba hii ni reducing balance method
# Mdhamana ni kadi ya gari Kwa wafanyabiashara wajasiriamali, wakulima
# Mdhamana Kwa watumishi wa umma ni salary slip yake ambapo atakuwa anakatwa kutoka kwenye mshahara wake
# kiasi cha kukopa Kwa watumishi wa umma kuanzia million Moja Hadi million 20
Tuna vifurushi tofauti tofauti vya mikopo kama vile
1. Mikopo Kwa uagizaji wa magari toka nje ya nchi
2. Mikopo Kwa ununuaji wa magari ndani ya nchi
3. Mikopo maalum Kwa taasisi za kielimu kama vile pre and primary school, colleges and private secondary school
4. Mikopo maalum Kwa taasisi za afya kama vile zahanati, vituo vya afya na hospital
5. Mikopo maalum Kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri binafsi au wa kibiashara yaani daladala malori gari ndogo SUV, pick up, min bus magari makubwa kama vile magari ya mizigo na magari ya kubebea mchanga
NB ; gari lazima namba ya usajili ianzie DL
#kiwango Cha kukopa kinaanzia shilingi Milioni 5
NB Hatukopesh pikipiki na Bajaji
6. Mikopo Kwa wafanyabiashara wa kati kama vile auto spare part, beauty and cosmetics, hardware, phone accessories, stationery, barbershops, restaurants, wamiliki wa maduka ya jumla na rejareja na wengine
NB; Kiwango cha kukopa kinaanzia shilingi Milioni kumi na mteja awe na gari kama mdhamana
Nitaendelea kutoa ufafanuzi kuhusiana na mikopo tofauti tofauti na masharti yake lakini pia kujibu maswali ya waday katika Uzi huu.

Karibuni
0686153806
OZB FINANCE AGENT (OFA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom