Kwa wale wanaohitaji kazi ASA
Mnaweza andaa CV mkapeleka pale head office kwenye box lao
Fika pale onana na mlinzi mueleze kuwa nmekuja kuleta CV atakuhudumia
Zikitangazwa nafasi za kazi asilimia kubwa wanaitwa wale walopeleka CV pale ,na asilimia kadhaa kwa walio fanya application
Sent from my Infinix PR652B using
JamiiForums mobile app