Naomba msaada kuhusu loan allocation, ni siku kumi sasa naangalia kwa kufuata huo utaratibu uliopo lakini sijafanikiwa
na chuo kishafunguliwa, naomba mniangalizie S0119.0044.2008 PLEASE.
Naomba msaada kuhusu loan allocation, ni siku kumi sasa naangalia kwa kufuata huo utaratibu uliopo lakini sijafanikiwa
na chuo kishafunguliwa, naomba mniangalizie S0119.0044.2008 PLEASE.
nenda bodi ya mikopo!!!!
au uanze kumuomba mungu wako, maana panaonekana pana mkono wa mtu!
nimejaribukuangalia namba za watu wangine, nikaona matokeo yao, lakini yako hayaonekani!!!
waliokosa mkopo wanapewa ujumbe flani, lakini wewe hakuna kinachotokea!