Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,913
loan application currently closed mkuuAisee, ningejua nimemuombea mdg angu, nafasi nyingine ya kuomba lini tena?
sasa mkuu unathibitishaje kuwa yanatoka soon?loan application currently closed mkuu
loan application currently closed mkuu
Mkuu kwa kweli sijui tuwe na subira tuNafaham, nauliza round nyingine ni lini?
eti enheMara nyingi majina yanayotoka first batch huwaga asilimia mia or sabin or sitin mpaka hamsini......ila baada ya hapo inaweza kuwa boom pekee ...hamna stationary wala field
Dah bro huu ukweli mchungu sanaMara nyingi majina yanayotoka first batch huwaga asilimia mia or sabin or sitin mpaka hamsini......ila baada ya hapo inaweza kuwa boom pekee ...hamna stationary wala field
etiDah bro huu ukweli mchungu sana
umepata nin100 percent
mkuuu washaupdate akaunti yako nn?100 percent
Sijaona uhusiano wowote wa hizo sms za CRDB na asilimia za mkopo wa HESLB.Habari wadau wa elimu jukwaa hili limekuwa msaada kwa wanafunzi wengi sana wenye shida mbalimbali.baada ya tatizo LA code kuisha limeibuka changamoto ya asilimia ngapi MTU anapewa kutoka HESLB maana walala hoi kama sisi ambao tupo katavi huku ndo tunategemea tujue asilimia ndo tuende udom. Sasa habari njema ni kwamba nimepokea SMS kutoka CRDB ikitaka nifungue scholar account katika branch zao huko Dodoma.hivo tuwe na subira kidogo asilimia soon inatoka .

Sio kweli,loan bodi hutoa majina kulingana na maombi yalivyokua yanaingia.nshawahi kufanya field paleDah bro huu ukweli mchungu sana