Liverpool inaweza kutwaa ubingwa?

LUIS EMAZ

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Sasa ni mechi ya sita wakishinda mfululizo tena kwa mabao zaidi ya mawili.Wanacheza kitimu halafu kuna SAS,je wataweza?
 
Liva akishinda mechi zake zote zilizobaki anabeba kombe ,kwa hiyo liko mikononi mwao ..
 
Hata kama wanasema mpira hautabiriki, Liverpool kuufikiria ubingwa ni sawa na Moro kuwazia bahari. Wajipange kwa mwakani. Arsenal nao tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…