LIVE:Yanga VS Prisons

Naona Tegete safari ya uturuki imemng'arisha kweli kweli
 
Dakika ya 84, anaingia Juma Abdul anatoka Mbuyu Twité
 
Prison watakuwa ni Tawi la yangu, haiwezekani wafungwe kirahisi namna hii
 
Samahani wadau leo nilikuepo taifa kutokana na soka safi la yanga skutakapoteza kabisa mda ko hata wenzangu wa jf nikawasau,
ushabiki pembeni yanga wanajua sana pasi za ukweli, chenga za mauzi kwa mpinzani, magori mazuri yasiyo na shaka.

Kweli hi ndio yanga,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…