WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
mie nimebanwa na majukumu ya ndoa hapa, mkipata matokeo mnijuze! tuko bize tunatafuta mtoto!
Hadi muda huu Yanga 1-1 Prison. Tegete alianza kuifungia Yanga, Elias wa Prison akaisawazishia. Mpira bado kipindi cha kwanza
Mpira mapumziko. Bado 1-1