Nimewahi kutoa point kuhusu kitu kamahiki kule Afroit,unaweza kukipata
Hapa
Kimsingi Streaming inatumia multicasting,ambayo ni kitendo cha kutuma packet kwenda kwa member zaidi ya mmoja ila tu ni kwa wale waliojiunga,inatumia reserved IP block aka Class D ambapo inarange 224.0.0.0 hadi 239.255.255.255.
Ila sijajua wewe unataka kujua Streaming kama designer au mtumiaji?
Kwa designer ambaye sie anayetumia try and error inabidi mambo ya network yawe yamepanda,nakushauri angalia hivi vitabu vinavyopatikana
Hapa
Nawakiisha kwa uchache!