Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
kwa ustaarabu huu nna uhakika wewe hukuvunja viti,huu ndo unaitwa uanamichezo,sio hao vichaa wengine wanakuja na porojo wakianza kupigwa wanailaumu yanga.Kadi Tatu za Njano za Kizembe zote, zitagharimu sana mbeleni, tukumbuke tunatumia nguvu kubwa sana kwa sasa hali inayohatarisha maejruhi mbeleni sasa na hili la kadi za kizembe litatuoa kwenye RELI, Juuko kamryukia Mrwanda Kizembe, Muzamiru naye kacheza faulo ya kitoto Mwanjali naye kajitakia kadi ya njao..............sina orodha kamili ya idadi ya njano zao lakini natoa angalizo
Kadhalika tumecheza kawaida sana japo tunashukuru ushindi, walau Mavugo ana japo Kontrol lakini Blagnon ni godoro
Sifa Moja Ya Shetani Ni Kukataa Ukweli na Katu Haukubali Ukweli..
Na Ukweli Usiopingika Ni Kwamba SIMBA SC ndiye Bingwa Wa Msimu Huu..
Kwahiyo "YEYOTE ANAEKATAA SIMBA KUWA BINGWA MSIMU HUU! HUYO NI SHETANI"..
Me pia nmeon hvokumbukumbu zangu zinaonyesha mchezo huo namba 84 utakaopigwa tarehe 20.10.2016(Thu) zidi SIMBA SC Vs MBAO FC utafanyika uwanja Wa Uhuru kwamaana Simba ndiyo mwenyeji
Mkuu nimefatilia ligi mpaka sasa tuko vizuri ila leo Kagera walikuwa vizuri sana timu ambazo zilitupa wakati mgumu ni Azam, mtibwa, kagera....Ruvu sikuitazamaKadi Tatu za Njano za Kizembe zote, zitagharimu sana mbeleni, tukumbuke tunatumia nguvu kubwa sana kwa sasa hali inayohatarisha maejruhi mbeleni sasa na hili la kadi za kizembe litatuoa kwenye RELI, Juuko kamryukia Mrwanda Kizembe, Muzamiru naye kacheza faulo ya kitoto Mwanjali naye kajitakia kadi ya njao..............sina orodha kamili ya idadi ya njano zao lakini natoa angalizo
Kadhalika tumecheza kawaida sana japo tunashukuru ushindi, walau Mavugo ana japo Kontrol lakini Blagnon ni godoro
Hilo ni kweli kabisa, HUENDA ndiyo sababu iliyofanya watifiche nimependa sana Kiungo ALLY NASSORO, MKUDE alipotea mara kadhaa kwa yule kiungo, kifupi walicheza kwa kutulia sana saluti kwa MaximeMkuu nimefatilia ligi mpaka sasa tuko vizuri ila leo Kagera walikuwa vizuri sana timu ambazo zilitupa wakati mgumu ni Azam, mtibwa, kagera....Ruvu sikuitazama
kuna wakati walikuwa wametuzidi kabisa kabla hatujafanya mabadiliko na timu kurudisha uhai na kupata goli la pili...Hilo ni kweli kabisa, HUENDA ndiyo sababu iliyofanya watifiche nimependa sana Kiungo ALLY NASSORO, MKUDE alipotea mara kadhaa kwa yule kiungo, kifupi walicheza kwa kutulia sana saluti kwa Maxime
Hapa sasa mnaongelea mpira na tunapaswa kukaza sana maana kila timu itakuwa inatukamia sasa. Ila huwaga Kagera wanatusumbua sana. Kikubwa tumepata point tatu muhimu. Kesho Azam wakaze ili wakishindwa japo wapate sare.kuna wakati walikuwa wametuzidi kabisa kabla hatujafanya mabadiliko na timu kurudisha uhai na kupata goli la pili...
Maxime ni bonge la kocha hakika Kagera wamecheza kwa mipango kuliko hata Mbeleko FC tulipo cheza nao...
Mtani hongereni kwa ushindiKichuya ni hatari sana.. Namuona akimaliza msimu na goli, si chini ya 30.
Mzee mwenzangu hongereni kwa ushindiMkuu maneno haya ndio yanayofanya watu tupate presha.....
Mzee mwenzangu hongereni kwa ushindi
Mapema ndo jua limetoka pana kipando kirefuAsante sana ndugu.......ningeenda hali iwe hivi mpaka mwisho wa ligi....
Anafuata nyayo za Mbwana Samatta, hatakawia kwenda zake Ughaibuni maana hapa bongo hakuna beki wa kumzuia...Huyu bwana mdogo anayejiita Kichuya...mpaka ligi ikiisha lazima....awaue watu kwa presha.....
Mapema ndo jua limetoka pana kipando kirefu
mkuu tambwe alifanya masturbation usiseme goli unakoseaNdiyo Mkuu.. Tumefungwa magoli 4 tu [ila kiuhalisia ni matatu.. na hii ni baada ya kutoa goli hewa la Tambwe]
sasa hivi wanaitwa Yanga Yetu a.k.a Geuzwa Ulalwe fc baada ya kukodishwa na Bwana Yulehahahaha...Mbereko FC aka Vyura FC MNA vituko sana.