LIVE UPDATES!! MAN UNITED Vs CHELSEA

jana, leo raha tuuu
simba
man
cdm
ushindi wa manu ni kama wa ccm siyo cdm...hautakiwi ushangilie ushindi mchafu wa kubebwa machana kweupe wa manu sambamba na ushindi wa cdm...huko ni kuinajisi cdm...
 
ushindi wa manu ni kama wa ccm siyo cdm...hautakiwi ushangilie ushindi mchafu wa kubebwa machana kweupe wa manu sambamba na ushindi wa cdm...huko ni kuinajisi cdm...

hahahaaa sawa mkuu
 
Yaani Man U live kubebwa.. Card ya Torres haikustahili kwa sababu aliangushwa.. Kile kinguchiro kimefunga goli la kuotea refa kapeta.. Damn..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…