hivi yule jamaa wa kulialia wa azam sijui Ndio stivu azam Bado huwa anakwenda kuisapoti azam viwanjani kweli? nahisi huwa anataman kurudi YANGA ila anashindwa aanzie wapi
Yule alivuta mpunga biashara ikaisha. Siku ya mechi ya ngao ya jamii Yanga 3-0 Azam alionekana mwenye furaha mno na hakuwa na simanzi, kamasi wala machozi usoni mwake.
Yule alivuta mpunga biashara ikaisha. Siku ya mechi ya ngao ya jamii Yanga 3-0 Azam alionekana mwenye furaha mno na hakuwa na simanzi, kamasi wala machozi usoni mwake.
bahati mbaya sana kwake amechengana nå mwaka alifuata pesa + furaha ya kuwa bingwa tena, ubingwa unaenda mitaa ya twiga nå jangwani...umaarufu wote alioupatia YANGA sasa kwishneiiii
Kwa hiyo timu yako kama inacheza mechi si ya kimashindano huisapoti. you're not a real fan. make kuna ushabiki mwingine wa kuiga watu wengine wanafurahi nawe unafurahi. mi simba naipenda tangu enzi za omary na ahmed jongo , charles hilary wa redio tanzania abubakar lyongo. salimu mbonde dominic chilambo etc