Kwa wale mwenye tv heb angalieni citizen tv naona watu wanao omba nafasi ya deputy chief justice wa kenya wanaojiwa live! Aise na sisi inabidi iwe hv na si rais anaamka asb anasema kamchagua flan kua jaji mkuu,IGP,cjui nn! Saiv kenya wenzetu wanatangaza watu wana apply zen interview zinaonyeshwa kwenye tv kila mtu aone!
sijui tupigane na sisi ili haya mambo yafanyike hv jaman?dahhhhhh
mkuu hiyo imekaa vizuri na wenzetu wanaonyesha transparency ya hali ya juu. Hapa kwetu kazi zinatangazwa watu wanafanya interview vizuri lakini unashangaa mtu anayekuja kupewa kazi. PWC wanajua kabisa kuwa Rwekaza Mukandala hakuwanayo Kati ya top three brains kwa ajili ya VC Wa UDSM au Mchechu Wa NAtional Haousing
Yan kma hii ya mchechu aise ni kashfa mana nasikia hta kwenye interview hakuwepo ila akaja akachomekwa na hapo nasikia PWC walilipwa kma 200M kuendesha interview!
Wenzetu wao kila post kubwa inatangazwa kwenye gazeti na zile crucial post interview zao zinakua televised ila wananchi wote waone nani kwel amepata