Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,Wazee wa droo vipi kaburu ameshapanga timu au bado Mkuu. Ningekushauri kabla hujaenda uwanjan wapigie simba UKAWA uwaulize Leo ngapi ngapi
Kaburu anasema Ndemla, Hasan Isiaka na Mohamed Husein Tshabalala hawana hadhi ya kuichezea simba,
Ha ha ha ha ha! huyu kaburu huyu!!!!
imebadilikia kwa ndani tu mkuu wangu carolina
wacha kubwabwaja msemaji
Nina wasiwasi na leo tena wakipokea kipigo kutoka kwa JKT RUVU yule jamaa anaweza kuhamishia hasira kwa mkewe.Bantu lady uko wapi dada njoo tuwape sapoti jkt ruvu wakati anampakata mnyama ili yule jamaa anayelala wima aendelee na usingizi wake wima.