Habari j33,
Hapana, bado haijawasili.
Inakuja kwa order maalum. (Yaani, yeye atakae ihitaji tunamletea)
Habari,ilete nije nilipie
Habari,
Hapo awali tulikua tukifanya hivyo, tatizo likawa mtu gari yake ikishafika, tukimwambia aje kuliona na kukagua, basi hawaonekani na kutokomea.
Hivyo tukagundua kwanba, wengi hawako serious ...
Ndio maana tukabadili system.
So mteja anatakiwa alipie kwanza pesa yote? Na mna ofisi rasmi au ni briefcase tu?Habari j33,
Hapana, bado haijawasili.
Inakuja kwa order maalum. (Yaani, yeye atakae ihitaji tunamletea)
Karibu!
Habari yako,So mteja anatakiwa alipie kwanza pesa yote? Na mna ofisi rasmi au ni briefcase tu?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
J,Inachukua muda gani kufika nchini? Na pia kwann mnamkatia mteja bima ya barabarani, nadhan kwa sasa makampuni ni mengi na kila kampuni ila offer zake kuvutia wateja, je mnaweza kutoa hizo gharama mteja akawa na choice yake? Nikipata majibu ya maswali yala nitakuja PM.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums