List Ya Watu Ninaowakubali Duniani

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
List ndogo ya binadamu naowaheshimu
zaidi duniani.

1. MKANDARASI,
kwangu always hawa jamaa
ni the best....ukitaka kuamini we chunguza
majengo yanavotaka kumkaribia
Mungu....hapa najumuisha na contrctors iwe
civil ama electronics. .


2. MKEMIA, hawa jamaa ni noma sana
mazee....uwezo wakuimix oxygen na
hydrogen ukapata OH3 sio jambo dogo ati.

3. MPISHI,
Hapa najua utabisha lakini
formula yakuuconvert mchele kuwa wali sio
inshu ndogo...mjue...hapa wengi tumekuta
formula tu....respect kwa muasisi....


4. PRODUCER WA MUZIKI NA MTAALAMU WA
NOTA ZILE, najua utakubaliana na mimi kua
bila mziki wote tungekua marehemu.....mziki
noma bana, unaliwaza, unafariji na
unafurahisha....umewah ziona nota za mziki
zinavopangwa kwa keyboard ili zilete
melody....thats above science aisee......


Mimi ni hao tu sijui wewe...............
 
Oooh gosh!! Ninamkubali sana mke wangu!!!
 
duh, huu uzi ungeuletaje hewani bila ya hao uliowa reject kwenye list mkuu
 
mimi list yangu ni hii...
1.JAMBAWAZI...
Swala la kuiba kwa kutumia silaha ni noma ni kama kujitoa mhanga..
2..WACHUNGAJI
swala la kumwombea mtu hadi apone au kuomba kitu MUNGU akatenda hapohapo sio kazi ndogo
3..WANAWAKE/MAMA
Swala la kubeba mimba na kuzaa sio kazi ndogo
 
waganga wa kienyeji ni nouma vibaya mnoo
 

mimi nikajua unawataja watu kwa majina yao kumbe kada unazozikubali, kama vipi badilisha title usomeke vizuri.
 
Sitaki kuamini na juhudi zote kuwafundisha hao wakandarasi, wakemia n.k
MWALIMU hayupo mmh haya bana
 
Sitaki kuamini na juhudi zote kuwafundisha hao wakandarasi, wakemia n.k
MWALIMU hayupo mmh haya bana

Nlisahau yaani nsikufiche leo Evelyn salt ni mmoja kati ya watu ninaowakubali zaidi ha ha ha......

(HeartSpeak)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…