List ya viongozi wenye uwezo mdogo

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
316
Reaction score
549
Wakuu hii ndo list ya viongozi ambao nazidi kuona wana uwezo mdogo na hawatoshi katika nafasi zao
1: Chalamila
2. Msando
3. Nchemba
4. Tarimba
5. Muliro

Nimejiridhisha kutokana na kauli zao wanaongea ili kumfurahisha mtu fulani, hawaoni aibu wala haya
Ongezea wengine
 


Watumieni salamu mkipata nafasi
 
Wote hao vilaza ma ngwini.Kiongozi makini anatakiwa awe amesoma Physics. Akitumia zile principles lazima atakuwa kiongozi mzuri.Lazima ataangalia possible consequences za action au maamuzi yeyote yale.Ila hawa viongozi wa Tanzania wanakirupuka tu
 
Yani Samia,Igp wambura,generali mkunda wamekosekana?
 
Unamuachaje kiongozi wao mkuu
 
Msigwa
Polisiccm
Haji Omary kheri
Maccm
Bakwataccm
 
Mwigulu ilibidi awe namba moja hapo, sijui Tanzania tuna mikosi kiasi gani? Huyu mwigulu kwa jinsi anavyoongea hakupaswa kuwa hata mjumbe wa nyumba 10...

Shenzi zake kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…