List ya Mastaa wa kike wabongo wasiohitaji make ups

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,883
1,599
Kuna baadhi nawajua tangu kitambo kabla hawajawa mastaa, kuna wengine nishakutana nao kwenye maeneo ya kistaarabu kama vile wakiamka baada ya kulala misibani ;

1. Elizabeth Lulu
2.Kajala(enzi zile ananyoa tu,hasuki)
3.Sanchoka (wa kitambo kile)
4.Shamsa Ford
5.Kidoti
6.Sepenga (wa zamani)
7.
8.
9.
Huu ni mtizamo wangu tu, kila mtu ana macho yake...wengine mnawaona kwenye TV tu .
Haya sasa karibuni muongeze list wakuu
 
Tunda na mdogo wake officialbarbie(yule ambae wasafi walimuita wakamnanii wakiongozwa na almasi lion)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…