List ya Mastaa wa kike wabongo wasiohitaji make ups

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,877
1,591
Kuna baadhi nawajua tangu kitambo kabla hawajawa mastaa, kuna wengine nishakutana nao kwenye maeneo ya kistaarabu kama vile wakiamka baada ya kulala misibani ;

1. Elizabeth Lulu
2.Kajala(enzi zile ananyoa tu,hasuki)
3.Sanchoka (wa kitambo kile)
4.Shamsa Ford
5.Kidoti
6.Sepenga (wa zamani)
7.
8.
9.
Huu ni mtizamo wangu tu, kila mtu ana macho yake...wengine mnawaona kwenye TV tu .
Haya sasa karibuni muongeze list wakuu
 
Tunda na mdogo wake officialbarbie(yule ambae wasafi walimuita wakamnanii wakiongozwa na almasi lion)
 
Mi mnaunizi hamuweki picha tuwaone, Wekeni basi.
Huyu hapa ndie TUNDA Ni balaa tangu tupate Uhuru sijawahi ona binti mrembo kama huyu asilani.
Screenshot_20190130-180742.jpeg
Screenshot_20190130-180732.jpeg
Screenshot_20190130-180720.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom