engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Damu ya uchama ningumu kuitoa sidhani kama atafanya kinyume na matakwa ya chama hata kama atachaguliwa...
mkuu umenichekesha sana, sasa komba hoja zikimuelemea si ataanza kutumbuiza pale kwenye kiti mbele ya bunge? na yeye ndo muamuzi wa mwisho, nani atamkataza?Mgema akisifiwa--- yangu macho mumwagieni mi sifa ila akiyakoroga msibadilishe kauli. Nafasi hiyo wange mpa Komba au kingunge nisingekuwa na shaka.
sasa kama mnalijua hilo, kwa nin mlimtoa kugombea kiti cha spika badala yake mkatuwekea yule mama mwenye wigi kuuubwa????????????.Mtu akimpinga sitta atakuwa anachuki binafsi japo chuki zake haziwezi kufua dafu.