King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,949
- 95,341
habari zenu
i am serious kama unaleta utani usicomment hii post, hebu niambieni ni vyakula gani vizuri wakati wa mjamzito? namaanisha vyakula vianavyoweza kumsaidia mtoto kuzaliwa salama
pili napenda kujua ni style gani nzuri ya ku do wakati wa ujauzito? mimba ndogo ya kuanzia mwezi mmoja
karibuni
Mtende vipi wewe,mbona unaanza na biti? Kwani umepost kwenye jukwaa la utani? Au ushajua kwamba unauliza maswali ya kiutani?
Acha ngono zembe na usipende sana kufanya ngono!
habari zenu
i am serious kama unaleta utani usicomment hii post, hebu niambieni ni vyakula gani vizuri wakati wa mjamzito? namaanisha vyakula vianavyoweza kumsaidia mtoto kuzaliwa salama
pili napenda kujua ni style gani nzuri ya ku do wakati wa ujauzito? mimba ndogo ya kuanzia mwezi mmoja
karibuni
A mother should eat some of each kind of food every day,if she is to be strong and give birth to a healthy baby.
1.Protein foods: Milk,eggs.fish,poultry,meat,beans.guinea corn,melon seed.peanuts.
2.Carbohydrate foods: (Do not take too much of these.) Rice,bread.yams,potatoes,sweet potatoes,cassava,fresh corn,rosted or boiled.
3. Fat foods: Palm oil,peanut oil, coconut oil, olive oil,fat of animals,birds and fish,milk,butter,mrgarine.
4. Fruits and vegetables: ( These contain the vitamins and minerals so necessary for the proper development of the baby's bones and teeth.) Guava,mango,pawpaw,oranges,pineapple,bananas,limes,tomatoes,peanuts,green vegetables such as spinach,cassava leaves,etc.
Especially during the first months of pregnancy when she is nauseated easily,the expectant mother should eat a little fruit or even a piece of dry bread,several times during the day,so that her stomach is never completely empty.

- Kula mboga kwa wingi hasa matembele ili damu isipungue, pia unaweza kuongeza ubuyu mweupe unatengeneza juice atleast lita itakuongezea hamu ya kula, hii nimeijaribu kwa watu wengi imefaa.
- Matunda ni muhimu pia, hapa kula kulingana na hamu yako.
- Nyama ni nzuri kula kwa kiasi epuka kula nyama ambayo haijaiva vizuri, italeta minyoo na sio nzuri wakati wa ujauzito, samaki, kuku nk kulingana na unapendelea nini kwa sababu wakati wa ujauzito hambatana na uchaguzi wa chakula.
- Ku do hakuna madhara wakati wa ujauzito km mimba haina tatizo lolote, ila position ni muhimu isimgandamize mtoto hasa wakati mimba ni kubwa
- Ku do kuna faida kwa mume na mke na mtoto pia, hufanya mtoto azaliwe hasa wakati mimba imechelewa kudo kunafanya njia ya mtoto ianze kufunguka kutokana na chemikali zinazotoka ktk mbegu za kiume zinasaidia mlango wa kutokea mtoto uanze kufunguka.
A mother should eat some of each kind of food every day,if she is to be strong and give birth to a healthy baby.
1.Protein foods: Milk,eggs.fish,poultry,meat,beans.guinea corn,melon seed.peanuts.
2.Carbohydrate foods: (Do not take too much of these.) Rice,bread.yams,potatoes,sweet potatoes,cassava,fresh corn,rosted or boiled.
3. Fat foods: Palm oil,peanut oil, coconut oil, olive oil,fat of animals,birds and fish,milk,butter,mrgarine.
4. Fruits and vegetables: ( These contain the vitamins and minerals so necessary for the proper development of the baby's bones and teeth.) Guava,mango,pawpaw,oranges,pineapple,bananas,limes,tomatoes,peanuts,green vegetables such as spinach,cassava leaves,etc.
Especially during the first months of pregnancy when she is nauseated easily,the expectant mother should eat a little fruit or even a piece of dry bread,several times during the day,so that her stomach is never completely empty.
1. Mimi naona nianzie kwenye aina za vyakula vya kuepuka kula wakati wa ujauzito:-
Epuka vyakula vifuatavyo:-
- samaki wakubwa wa baharini (Marlin, Orange roughy, Tilefish, Swordfish, Shark, Mackerel (king fish), Tuna, n.k). Aina hizi za samaki zina madini mengi ya mercury ambayo yanaweza kumdhuru mtoto).
- maziwa yasiochemshwa, au maziwa yasiochemshwa vizuri.
- nyama mbichi, au nyama ambayo haijapikwa na kuiva vizuri, mayai mabichi, au mayai ambayo hayajaiva vizuri.
- vinywaji vyenye alcohol, au caffeine.
2. Vyakula muhimu vya kula wakati wa ujauzito:-
Kula vyakula vifuatavyo:-
- Carbohydrates – Organic fruits, vegetables, beans and whole-grain breads and pastas. In terms of fruits and vegetables, aim to have a serving at each and every meal or snack. Remember, the more colorful (e.g. blueberries, broccoli, sweet potatoes, etc.), the better.
- fish (cold-water fish)-like tilapia, cat fish, etc. These kind of fish have very low levels of mercury.
- Proteins – Cooked egg whites, chicken, turkey, soy, protein powder, low-fat dairy products and lean beef.
- Fat – Eat as much "good fat" as possible to support proper brain and nervous system development. Optimal choices include nuts, seeds, avocadoes, olive oil, flaxseed oil, fish oils, cold-water fish and omega-3 eggs.
- Fruits.
http://truestarhealth.com/members/cm_archives12ML3P1A139.html
unakuja na warning si una access ya mtandao nenda ka google kuna mengi online vitakusaidia kujua.
Kunywa maji ya uvuguvugu unaweza kuweka kidogo sukari.wengine bila chai asubuhi anakuwa kama mgonjwa...unamshauri mtu huyu atumie kinywaji gani kama mbadala wa chai?
Kunywa maji ya uvuguvugu unaweza kuweka kidogo sukari.