Unajua kwakuwa hakuna anayeelewa jinsi malighafi tunazotumia kuunda hizi mashine zinavyopandishwa bei basi mtu anashani tunaweka hizi bei km kukomoa watu. Kama mtu unataka uwekeww vifaa duni mfano mota za kichina zinazokaa miezi 2 zinafeli hapo unapata mashine za bei chee. Matokeo yake baadae tunakuja sumbuana. Sie tunaweka mota za kutoka italy na japan ambazo ni imara. Lakini kama hauna uwezo huo sio mbaya kuza kuza mtaji Muombe Mungu akujaalie ukuze biashara
Unajua watu wakipewa bei ya bidhaa yoyote ile watz wanapenda panga bei zao wnadhani sie tunawafanyia makusudi pangia bei.