Liquid Soap Mixer

Liquid Soap Mixer

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
624
Reaction score
548
Habari za wakati huu

Mashine za kuchanganya malighafi kwa ajili ya kupata savuni ya maji zinatengenezwa na kuuzwa. Kwa wakati huu ipo ya size hii

IMG_20191104_152348.jpg IMG_20191104_152321.jpg IMG_20191104_152146.jpg
Kuchanganya lita 50 kwa nusu saa.

Inatumia umeme single phase

Bei ya sasa ni ya punguzo maalumu la mwezi huu ambayo ni Tsh 800,000

Baada ya mwezi huu bei tutarudisha ya zamani ya juu zaidi. Zinapatikana jijini Dar

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0758 308193
 
Sisi wajasiriamali wadogo wacha tuendelee kuchanganya kwa mwiko/ mti mpaka tukuze mtaji hakuna namna...

Bei iko juu kwetu sisi wazalishaji Wa chini na capacity sio kubwa sana pia inatumia Umeme gharama itaongezeka ya uzalishaji badala ya kupunguza ukilinganisha na manual.

Mtutengenezee za gharama nafuu kidogo na capacity iongezwe.
Asante
 
Unajua kwakuwa hakuna anayeelewa jinsi malighafi tunazotumia kuunda hizi mashine zinavyopandishwa bei basi mtu anashani tunaweka hizi bei km kukomoa watu. Kama mtu unataka uwekeww vifaa duni mfano mota za kichina zinazokaa miezi 2 zinafeli hapo unapata mashine za bei chee. Matokeo yake baadae tunakuja sumbuana. Sie tunaweka mota za kutoka italy na japan ambazo ni imara. Lakini kama hauna uwezo huo sio mbaya kuza kuza mtaji Muombe Mungu akujaalie ukuze biashara

Unajua watu wakipewa bei ya bidhaa yoyote ile watz wanapenda panga bei zao wnadhani sie tunawafanyia makusudi pangia bei.
 
Umesomeka mazee..

Kaka mimi nina Tsh 300,000 Naomba nikupe unipatie hiyo mashine kisha hicho kiasi kingine unikubalie nikulipe kidogo kidogo. Si unaelewa tena hali ya kibiashara ya sasa. Naihitaji sana kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom