Shida ya katiba ni ya wote, kulinganisha kati ya CDM na CUF nani zaidi ni kukwepa ukweli, inapaswa wote waungane kudai katiba.
Nimepishana na moja la maji ya kuwasha.
hii imekaaje kwa cuf kupanga maandamano na kisha asiwepo mwenyekiti au makamu wake? Na ni kwa nini wanaandamana kwa staili ya kuwakwepa polisi? Polisi wakipita mtaa huu wenyewe wanahamia mwingine? Wanadai demokrasia ipi (kama anavyodai kaimu katibu wao) wakati walishaitambua serikali na kumkabidhi JK ilani yao.
Kati ya CDM na Cuf nani haeleweki?
Inaelekea wewe risasi ilikupata kwenye ubongo!Maji ya kuwasha munayaogopa nyie tu ambao viongozi wenu hawaumii ktk harakati za kisiasa mpaka waanguke bafuni. Watu wemepigwa risasi wataogopa maji?