Lipumba ahutubia bila Polisi

Jeshi la Polisi linaendeshwa kwa siasa, muda umefika sasa likaendeshwa kisayansi na weledi wa hali ya juu kwa lengo la kulinda usalama wa raia na mali zao na sio kutumiwa kisiasa. Mifumo iliyopo sasa ni ileile iliyokasimishwa na mkoloni ili kuzuia wazawa wasipate uhuru wa nchi yao.
kuendelea kutumia mifumo ileile kunafifisha demokrasi, haki na usawa hivyo kuhatarisha amani ya nchi yetu kwa kiwango kisichoelezeka.
 
pisto lero lipumba kahutubia bila polisi je kahutubia watu wangapi? watu wenyewe hawazidi mia mbili unataka kulisumbua jeshi la polisi likampe ulinzi halafu asingizie kupigwa tena?
 


Polisi tulikuwepo tukiwa tumevaa kiraia kwani intelejensia yetu ilituambia kuwa tukivaa sare za polisi wale jamaa wangekunywa damu yetu na kula nyama zetu...Nani asiyeogopa kufa...
Harafu kule juu walitupa amri tuuzuie mkutano huo, tukawaambia vyombo vya habari vipo iteni press conference mtoe katazo hilo sisi tumechoka kusimangwa na ndugu zetu huko uraiani...

Tafakari...
 
Polisi wasusie mikutano yote ya vyama vya upinzani, wametukanwa sana bungeni juzi
inawezekana mikutano ya wapinzani ikafanyika bila polisi. na hata fujo zikitokea itakuwa ni haohao policcm watakaokuwa wameanzisha wakiwa wamevalia kiraia. mbona mbinu zenu zinajulikana.
 

Na huyo jee
 

Attachments

  • 1422805224061.jpg
    37.8 KB · Views: 209
Hivi Mke Wa Lipumba Huwa Amamshauri Nini Mumewe?

Hata wewe unaweza kuwa mkewe ukamshauri sio mbaya sisi wanaume huwa tunapokea ushari mwingi tu kutoka kwa wanawake hata kama sio mke wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…