TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,558
- Thread starter
-
- #21
Fursa itumiwe vema inapopatikana hata kuuza Unga ni jinai pale tu utakapo kamatwa otherwise itabaki kuwa fursa adhimuSipendi mtu anayemchukia fisadi, ila napenda mtu anayechukia ufisadi
Nadhani nimeeleweka
Fursat itafute popote pale hajalishi ikoje
Ni bora kula mayai kuliko kuatamishia kuku karibu na tundu la nyoka.Halafu unabaki kulalamika tu,aisee ukipata Fursa PIGA
Swadakta, huko ulipo ubarikiwe ktk harakati zako za Kila ziku za utafutajiFursa itumiwe vema inapopatikana hata kuuza Unga ni jinai pale tu utakapo kamatwa otherwise itabaki kuwa fursa adhimu
Huoni Nyerere alijifanya mzalendo? Angalia alivyowaacha kina Andrew Hoi wamechoka.Halafu unabaki kulalamika tu,aisee ukipata Fursa PIGA
Mimi siku nikifumwa naona nitaondoka hapa kwa mwendo mbaya 😂😂Uibe mara ngapi? Kwasababu Kila mitanzania ni mwizi na mpigaji kwenye nafasi Yake.
Yule mzee sijui niseme ni kubugi au kuamini kwa Kila mtu ni sawa,akataka akina Andrew wawe sawa na watoto wengineHuoni Nyerere alijifanya mzalendo? Angalia alivyowaacha kina Andrew Hoi wamechoka.
Ndio maana kaandika C & PNiliwahi iona fasebuku miaka ya nyuma sana hii
#No reform no election
Kuna jamaa yangu ni fundi umeme alikuwa anafanya kazi kwa wahindi anasema aliwaibia sana kiasi kwamba walipokuja kushituka wangeamua kumfunga wangemfunga na asingejiteteaMimi siku nikifumwa naona nitaondoka hapa kwa mwendo mbaya 😂😂
Ni ngumu sababu hakuna faida kwake hata akidanganya maana yeye huchunguza wakati watu wamesha kula na kusaza na kwenda toiletKwa hiyo unatushauri CAG naye tu m-siejii? Kwamba yawezekana hiyo mia na ushee hajaisiejii vizuri?
Kivyovyote,iwavyo suala la msingi ni kubeba maudhui na kujifunzaKupitia huu uzi halafu usielewe kuwa ni chai, hii inaitwa "kukosa uzoefu wa JF".
Mimi nitakutwa vibaya mnooKuna jamaa yangu ni fundi umeme alikuwa anafanya kazi kwa wahindi anasema aliwaibia sana kiasi kwamba walipokuja kushituka wangeamua kumfunga wangemfunga na asingejitetea
Ndio maana meneja wa mradi alipoletewa vidumu vya mafuta ati yamekamatwa site...aliwajibu..."that is not my problem""........halafu kila baada ya miezi 2 ana invoice yake ya lita elfu ishirini.....Wakati wa wizi wa benki katika jiji la New York, jambazi mmoja alipiga kelele akiwaambia wafanyakazi wa ndani ya benki:
“Msiondoke! Pesa ni mali ya serikali, lakini maisha yenu ni mali yenu.”
Basi kila mtu akajilaza chini kwa utulivu kabisa...
➡️ Hii inaitwa: "Kubadilisha mtazamo wa fikra."
Baada ya wizi kumalizika, jambazi mdogo mwenye shahada ya chuo kikuu alimwambia kiongozi wao – ambaye alikuwa na umri mkubwa na alikuwa na elimu ya shule ya msingi tu: alimuambia
"Kiongozi, hebu tuhahesabu ni pesa ngapi tumepata!"
Kiongozi alimkemea na kumwambia:
“Wewe ni mjinga? Huu ni mzigo mkubwa wa pesa, utatuchukua muda mrefu kuhesabu. Usiku wa leo tutajua kupitia taarifa za habari ni kiasi gani tumeiba!”
➡️ Huu unaitwa: "Uzoefu/experience."
Siku hizi, uzoefu ni muhimu zaidi kuliko vyeti vya karatasi.
Baada ya majambazi kuondoka, Meneja mkuu wa benki alimwambia Meneja wa tawi hilo kwamba:
“Piga simu polisi haraka.”
Lakini Meneja wa tawi akamjibu:
“Subiri, hebu tuchukue Dollars milioni 10 tuzihifadhi sisi wenyewe na tuwaongezee kwenye pesa walizoiba na zile milioni 70 tulizoiba tayari zamani!(yani tuwaongezee jumla ya Dollah million 80)”
➡️Hii inaitwa: "Kuogelea na mkondo wa maji na kugeuza hali iwe faida kwako/au waswahili husema kujiongeza kwa kutembelea fursa."
Meneja wa benki akasema:
“Duh aisee yaani hii basi ingekuwa nzuri sana kama kungekuwa na wizi kila mwezi!”
➡️ Hii inaitwa: "Kupitiliza mipaka."
Kesho yake, vyombo vya habari vilitangaza kuwa dola milioni 100 ziliibiwa kutoka kwenye benki!
Majambazi wakaanza kuhesabu pesa tena na tena,
na kila mara waligundua kuwa walikuwa wamechukua dola milioni 20 tu!
Wakakasirika sana na kusema:
“AAAH Aisee Tume hatarisha maisha yetu kwa ajili ya milioni 20 tu, na yule Meneja wa benki amechukua milioni 80 bila hata kupata kupata tabu ya mtutu mama sisi”
“Inaonekana ni bora kuwa msomi kuliko kuwa jambazi!”
➡️ Hii inaitwa: "Maarifa ni dhahabu."
Meneja wa benki alikuwa anatabasamu kwa furaha kwani sasa alikuwa milionea,
na hasara zake zote za hisa sokoni zilitimizwa kwa pesa hizo.
➡️ Hii inaitwa: "Kunyakua fursa."
Tunajifunza Kwamba Mara nyingi
Majambazi halisi mara nyingi ni wale walioko kwenye nafasi za juu – lakini ni majambazi wenye vyeti!
C & P
Kuwa makini sasaMimi nitakutwa vibaya mnoo