Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Upo duniani kweli au ?MTU kasaini mkataba Jana halafu Leo aondoke arudi kwao Argentina ?
Tena ana miaka 30 ?
Serikali ichunguze viroba bado zinauzwa
Nadhani hujamwelewa, bila shaka anamzungumzia Lowasa.!MTU kasaini mkataba Jana halafu Leo aondoke arudi kwao Argentina ?
Tena ana miaka 30 ?
Serikali ichunguze viroba bado zinauzwa
Upo duniani kweli au ?
Acha kumfanisha CR7 na mambo ya kipuuzi puuziAmeomba Nafasi hiyo Apewe "C.R.7"
tena kwa mgombea mmoja tuduh kama ni hivyo 2020 kutakua na uchaguzi wa kura za ndio/hapana
Ilkua kidogo tu na mm niropokwe [emoji16][emoji16][emoji16]Upo duniani kweli au ?