Kufungwa kubaya sana, kusikie tu kwa jirani. Siku kapangwa Arajiga simba vs yanga 1-5, Yanga vs Simba2-1 ulikenua mijino, leo Jibri sila kala bikira mnafungua nyuzi za kichoco kama akina kaoge. we match ngapi msimu huu umecheza wapinzani wako wakiwa pungufu?. Hii ligi si mali ya GSM ni ya TFF na bodi ya ligi. kama hutaki kufungwa chukua timu zenu za udhamini wa gsm anzisha ligi yenu.