Nahitaji shaft zenye kipenyo (diameter) 18mm na 17mm na urefu meter angalau 2 mwenye nazo anipm au atoe namba zake nitampigia. Zikiwa stainless steel itakuwa poa sana. Picha angalia chini.

Kama uko Dar nenda Kamal steel ipo Changombe , Mm steel ipo mitaa ya mwenge/mikocheni au Dosh hardware ipo tazara kwa mbele kama unaelekea uwanja wa taifa. Ukiwakosa njoo pm nikupe contact