hivi hii kampuni ya tigo kwa nini wanawaruhusi hawa wahuni kutuuzia line mitaani, yaani ukienda ofisini kwao wanakuzungusha ili mradi tu uje mtaani wakuuzie. kampuni kubwa mnafanya mambo ya kihuni ??? ebo hebu komesheni huu use.......e inatakiwa tuje ofisini kwenu tulipie mtupe risiti na tuendelee kuwafanyia kazi huku mitaani sasa mmewaruhusu hao wafanyakazi wenu wahuni watulangue ? polisi nao wamekodoa mimacho tu! pu.....vu xana
watu oaibiwa na mnakubali dah. THE WORLD IS CRYING IT IS NOT THAT BAD PEOPLE ARE ARE MANY AND STRONG BUT GOOD PEOPLE ARE SILENT. Please good people where you? come and lift the veil of this darkness on line za tgo pesa.