Line za tigopesa

Line za tigopesa

kingB

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Kwa wale wanaohitaji line za tigopesa mnaweza nitafuta kwa namba 0754891344. Bei yake ni 450,000
 
Kwa wale wanaohitaji line za tigopesa mnaweza nitafuta kwa namba 0754891344. Bei yake ni 450,000
hivi hii kampuni ya tigo kwa nini wanawaruhusi hawa wahuni kutuuzia line mitaani, yaani ukienda ofisini kwao wanakuzungusha ili mradi tu uje mtaani wakuuzie. kampuni kubwa mnafanya mambo ya kihuni ??? ebo hebu komesheni huu use.......e inatakiwa tuje ofisini kwenu tulipie mtupe risiti na tuendelee kuwafanyia kazi huku mitaani sasa mmewaruhusu hao wafanyakazi wenu wahuni watulangue ? polisi nao wamekodoa mimacho tu! pu.....vu xana
 
watu oaibiwa na mnakubali dah. THE WORLD IS CRYING IT IS NOT THAT BAD PEOPLE ARE ARE MANY AND STRONG BUT GOOD PEOPLE ARE SILENT. Please good people where you? come and lift the veil of this darkness on line za tgo pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom