Line ya uwakala wa M-pesa

Mbona hizo line mnaziuza bei ghali,kwani mnazinunua bei gani

usiangalie bei ya kununulia tu angalia pia fauda utakayoipata kwa kuwa na line M-pesa

Usiangalie tu Dark side ya kitu tu pia jaribu kuona positive side
 
ninazo mbili za voda laki mbili niko dsm,anayetaka pm ihusike hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…