sijazaliwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 207 Reaction score 142 Aug 3, 2015 #1 Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM. Asanteni.
Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM. Asanteni.
I ian Member Joined Mar 12, 2009 Posts 22 Reaction score 0 Aug 3, 2015 #2 Yes nirushie namba yako nikupigie
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,143 Aug 3, 2015 #3 Upo wapi? Weka bei hapa mura!!
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,519 Reaction score 5,148 Aug 3, 2015 #4 Yangu tigo,430,000 dar city
K kiizav New Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Aug 3, 2015 #5 Tuwasiliane nahitaji hio ya tigo kwa sh 150000 piga 0713386590 au 0787067727
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,519 Reaction score 5,148 Aug 3, 2015 #6 Kwa hela hiyo labda ya airtel