Line ya M-Pesa Tsh Laki moja tu

Ni kwel unauza lain ya tigopesa lak 4 unusu?
 
Nataka ya asilimia mia mkuu hii unayouza wewe commision ikoje?...
 
jamani hizi laini vipi? mbona sielewi jaribuni kunielewesha ukinunua laki je! unakuta pesa ndani yake? au vipi samahani nipo nje ya nchi kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…